π Habari!
Kwa sasa NALA inakuwezesha kutuma fedha kutoka Uingereza π¬π§, Marekani πΊπΈ na Ulaya πͺπΊ kwenda Afrika (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Ghana).
Huwezi kutumia NALA kufanya miamala ndani ya Tanzania kama vile kutumia fedha au kulipia bili za LUKU, Malipo ya Serikali na kadhalika. ο»Ώο»Ώ
Ila kama upo Tanzania na una akaunti ya benki ya Uingereza, Marekani au Ulaya pamoja na anwani ya nchi hiyo, unaweza kutumia NALA.
π Ila usihofu, tuko mbioni kuwezesha NALA kufanya miamala ya nyumbani Tanzania πΉπΏ pamoja na kutuma fedha kwenda nje ya Afrika.
Kaa chonjo, huduma hizi zitakuja hivi karibuni. Tembelea www.buildnala.com kufahamu zaidi.
Shukrani π